NI JUNI 30, MJADALA WA NGUVU KUHUSU MICHEZO:Hii ndiyo orodha ya washiriki, kumbuka muda ukifika unaweza kushiriki mjadala huu moja kwa moja, USIKOSE

WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano muhimu na maalum utakaofanyika Juni 30, 2022 (Alhamisi) kuanzia saa 10 kamili Jioni hadi saa 12:30 Jioni
Mada:Tathmini ya Msimu wa Ligi ya NBC 2021/2022 na Maboresho katika Sekta ya Mpira wa Miguu chini ya Serikali ya Awamu ya Sita
Muda ukifika (Saa 10 kamili Jioni, Juni 30, 2022 - Alhamisi) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3ylTpqU

Au kupitia
Meeting ID: 830 5188 1708
Passcode: 709019

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news