Rais Samia afungua Mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara

NA DIRAMAKINI

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo Juni 7, 2022 amefungua Mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara katika Ukumbi wa Hazina jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma leo Juni 7, 2022. (Picha na Ikulu).
Viongozi na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akifungua Mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika ukumbi wa Hazina jijini Dodoma leo.

Post a Comment

0 Comments