Rais Samia ameiheshimisha Sekta ya Maji nchini wasema wadau


"Ndani ya Serikali ya Awamu ya Sita, Sekta ya Maji imepewa kipaumbele kikubwa na mpaka sasa wananchi wameweza kujionea na kutatuliwa changamoto mbambali zilizokuwa zinawakabili kutokana na uhaba wa maji,"amesema Naibu Waziri wa Maji, Mheshimiwa Maryprisca Mahundi (Mb) katika mjadala wa Kitaifa ambao umeangazia Uwekezaji na Maendeleo ya Sekta ya Maji chini ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

Post a Comment

0 Comments