Rais Samia aongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia Suluhu Hassan akiendesha Kikao Cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, huku Wajumbe wakimsikiliza kwa makini, Katika Ukumbi wa Jengo la Makao Makuu ya CCM la White House Jijini Dodoma, leo. Kulia kwa Mwenyekiti, Rais Samia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana na kulia kwake ni Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo.
Wajumbe wakiwa wamesheni ukumbi wakati wa kikao hicho.
Wajumbe wakiwa ukumbini kwenye Kikao hicho. Kutoka kulia ni Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango, Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mmwinyi, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdullah na Spika wa Bunge Dkt.Tulia Ackson.
Wajumbe wakiwa ukumbini
Wajumbe wakiwa ukumbini.
Wajumbe wakiwa ukumbini.

Post a Comment

0 Comments