Makamu wa Rais awasili jijini Kigali


Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akilakiwa baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali nchini Rwanda leo. Makamu wa Rais anatarajia kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 26 wa Wakuu wa Serikali wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Madola nchini humo.(Picha na OMW).

Post a Comment

0 Comments