Rais Samia ateta na Sultan Haitham bin Tariq Al Said wa Oman

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Kiongozi Mkuu wa Taifa la Oman Sultan Haitham bin Tariq Al Said mara baada kuwasili Al Alam Muscat kwa ajili ya mazungumzo yaliyofanyika tarehe 13 Juni, 2022. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mwenyeji wake Kiongozi Mkuu wa Taifa la Oman Sultan Haitham bin Tariq Al Said kwenye Kasri ya Al Alam Muscat nchini humo tarehe 13 Juni, 2022. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Kiongozi Mkuu wa Taifa la Oman Sultan Haitham bin Tariq Al Said mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Al Alam Muscat nchini humo tarehe 13 Juni, 2022. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea na kuangalia shughuli mbalimbali za Utamaduni, pamoja na historia ya Oman katika Makumbusho ya Taifa hilo yaliyopo Muscat nchini humo tarehe 13 Juni, 2022.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news