Rais Samia ateta na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba Mhe. Bruno Rodriguez Parrilla aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba Mhe. Bruno Rodriguez Parrilla mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2022. (Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news