Spika Dkt.Tulia Ackson ana kwa ana na mtoto Barka Seif Mpanda


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiwa katika picha ya pamoja na Mtoto Barka Seif Mpanda (8) nje ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma, Mtoto Barka ni Mtanzania pekee aliyeanza kucheza mpira wa miguu akiwa na umri wa miaka minne (4) na kupata mafanikio katika umri mdogo.

Post a Comment

0 Comments