Spika Dkt.Tulia aibuka mshindi mbio zilizoshirikisha viongozi wanawake


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), ameibuka mshindi kwenye mbio za mita 100 zilizoshirikisha Viongozi Wanawake wakati wa tamasha la CRDB Bank pamoja Bonanza katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo Juni 25, 2022.

Post a Comment

0 Comments