Tume ya Utumishi wa Umma yatoa msaada wa vifaa tiba, misaada kwa wodi ya wazazi Kituo cha Afya Makole

NA DIRAMAKINI

TUME ya Utumishi wa Umma imetembelea na kutoa msaada wa vifaa tiba na misaada kwa wodi ya wazazi katika Kituo cha Afya Makole jijini Dodoma ikiwa ni mioongoni mwa shughuli zilizofanyika wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyofanyika nchini kuanzia Juni 16 hadi 23, 2022.

Post a Comment

0 Comments