USIKOSE JUMAMOSI HII SAA 10 KAMILI JIONI:Mjadala wa Kitaifa juu ya Bajeti Kuu ya Serikali 2022/2023

WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano Maalum utakaofanyika Juni 18, 2022 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12:30 jioni.
Mada; Mjadala wa Kitaifa juu ya Bajeti Kuu ya Serikali 2022/2023
Muda ukifika (Saa 10 kamili, Juni 18, 2022 - Jumamosi) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya  https://bit.ly/39sUi7G

Au kupitia
Meeting ID: 838 8862 4578
Passcode: 561944

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibu tujadili kwa pamoja Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka 2022/2023.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel-Tanzania.

Post a Comment

0 Comments