Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 16,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Singapore (SGD) inanunuliwa kwa shilingi 1646.6 na kuuzwa kwa shilingi 1662.4 huku Krona ya Sweden (SEK) ikinunuliwa kwa shilingi 224.9 na kuuzwa kwa shilingi 227.1.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 16, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 143.12 na kuuzwa kwa shilingi 144.50 huku dola ya Marekani (USD) ikinunuliwa kwa shilingi 2290.9 na kuuzwa kwa shilingi 2313.8.

Dinar ya Algeria (DZD) inanunuliwa kwa shilingi 16.4 na kuuzwa kwa shilingi 16.5 huku Franka ya Ufaransa (FRF) ikinunuliwa kwa shilingi 308.4 na kuuzwa 311.02.

Lira ya Italia (ITL) inanunuliwa kwa shilingi 1.044 na kuuzwa kwa shilingi 1.045 huku Rupia ya India (INR) ikinunuliwa kwa shilingi 29.47 na kuuzwa kwa shilingi 29.75.
Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.1 na kuuzwa kwa shilingi 2.2 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 10.54 na kuuzwa kwa shilingi 11.12.

Post a Comment

0 Comments