VIDEO 11 za Wazee Zanzibar wakizungumzia msamaha wa Baraka Shamte

NA DIRAMAKINI

WAZEE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Vijana na Wadau mbalimbali visiwani Zanzibar wamepongeza hatua ya Mzee Baraka Shamte kuomba radhi CCM pamoja na Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa  Dkt.Hussein Ali Mwinyi kwa kauli za kashfa alizozitoa hivi karibuni.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti tofauti Wazee hao wamesema kuwa, kitendo cha Mzee Baraka Shamte ni kitendo cha kiuungwana na kinapaswa kupongezwa na hatua zichukuliwe kwa Mujibu wa Utaratibu.
"Mzee Mwenzetu amekosea na amekiri kosa hivyo Mamlaka inapaswa kumsamehe kwa Mujibu wa Kanuni na Taratibu," Wamesema baadhi wazee hao.

Post a Comment

0 Comments