Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 21,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2411.55 na kuuzwa kwa shilingi 2436.59 huku Paundi ya Uingereza (GBP) ikinunuliwa kwa shilingi 2811.37 na kuuzwa kwa shilingi 2840.41.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 21, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 623.88 na kuuzwa kwa shilingi 629.96 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.03 na kuuzwa kwa shilingi 148.33.
Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 10.39 na kuuzwa kwa shilingi 10.97.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 226.75 na kuuzwa kwa shilingi 228.97 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 143.1 na kuuzwa kwa shilingi 144.5.

Aidha, dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2291.26 na kuuzwa kwa shilingi 2314.17 huku Lira ya Italia (ITL) inanunuliwa kwa shilingi 1.04 na kuuzwa kwa shilingi 1.05.
Kwa upande wa Franka ya Ubelgiji (BEF) ikinunuliwa kwa shilingi 50.15 na kuuzwa kwa shilingi 50.59 huku Yen ya Japan (JPY) ikinunuliwa kwa shilingi 16.98 na kuuzwa kwa shilingi 17.15.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news