Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 28, 2022

NA GODFREY NNKO

LEO Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.23 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 10.50 na kuuzwa kwa shilingi 11.13.
Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 624.17 na kuuzwa kwa shilingi 630.27 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.10 na kuuzwa kwa shilingi 148.40.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 28, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 226.79 na kuuzwa kwa shilingi 229.01 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 144.22 na kuuzwa kwa shilingi 145.61.
Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 29.21 na kuuzwa kwa shilingi 29.48 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.48 na kuuzwa kwa shilingi 19.65.

Aidha,Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2419.38 na kuuzwa kwa shilingi 2444.04 huku Paundi ya Uingereza (GBP) ikinunuliwa kwa shilingi 2805.42 na kuuzwa kwa shilingi 2834.17.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news