Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 29,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.22 na kuuzwa kwa shilingi 2.29 huku Kwacha ya Zambia (ZMK) ikinunuliwa kwa shilingi 140.18 na kuuzwa kwa shilingi 143.02. 
Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 624.21 na kuuzwa kwa shilingi 630.31 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.11 na kuuzwa kwa shilingi 148.41.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 29, and 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 227.03 na kuuzwa kwa shilingi 229.14 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 142.87 na kuuzwa kwa shilingi 144.25.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 10.54 na kuuzwa kwa shilingi 11.18.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 29.02 na kuuzwa kwa shilingi 29.29 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.48 na kuuzwa kwa shilingi 19.64.

Aidha,Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2418.62 na kuuzwa kwa shilingi 2443.74 huku Paundi ya Uingereza (GBP) ikinunuliwa kwa shilingi 2803.08 na kuuzwa kwa shilingi 2832.04.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news