Waziri Bashungwa ataja mambo mazuri kwa wananchi wanaohama kwa hiari kutoka Ngorongoro kwenda Handeni


Serikali imetengea Wilaya ya Handeni kiasi cha shilingi Bilioni 2.53 kwa ajili ya miradi ya barabara ambapo hawa wananchi wanaohamia kutoka Ngorongoro wanakwenda kukutana na huduma ya miundombinu bora kuliko iliyopo Ngorongoro;

Post a Comment

0 Comments