Hii hapa ratiba ya huduma za pamoja za utatuzi wa migogoro na malalamiko Dar es Salaam


"Kwa vile zoezi hili litagusa maeneo mengi ya nchi yetu, napenda pia kuwaarifu kwamba, pamoja na hatua ambazo Wizara inachukua kutatua malalamiko na kero za wananchi wa Dar es Salaam, tunaelewa kwamba jukumu letu la msingi ni kujenga utaratibu na mifumo ya kuzuia migogoro isijitokeze, na sio kusubiri migogoro ijitokeze ndio tuanze kuifanyia kazi,"Dkt.Kijazi Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Post a Comment

0 Comments