Unataka kuzifahamu fursa za Kiuchumi zinazopatikana nchi za Afrika ya Kaskazini, Mashariki ya Kati na Asia? USIKOSE leo saa 10 kamili jioni

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano maalum utakaofanyika leo Julai 30, 2022 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12:30 jioni.
Sehemu ya Pili ya Mada:Kukua kwa Diplomasia ya Uchumi na Fursa za Kiuchumi zinazopatikana nchi za Afrika ya Kaskazini, Mashariki ya Kati na Asia.

Muda ukifika (Saa 10 kamili, Julai 30, 2022 - Jumamosi) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3J5QPcG

Au kupitia
Meeting ID: 836 9535 7265
Passcode: 534996

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news