Kada wa CCM,Chuki Alberto ajitosa kuwania nafasi ya Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya MombaKada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Momba mkoani Songwe, Chuki Alberto amechukua na kurejesha fomu ya kugombea nafasi ya Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Momba kupitia mchaka mchaka wa uchaguzi wa CCM unaoendelea nchini kwa sasa.

Post a Comment

0 Comments