'Karibu Malawi, jisikie huko nyumbani Tanzania, asante Mheshimiwa Rais'Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Malawi, Mhe. Dkt. Lazarus Chakwera katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Bingu Jijini Lilongwe nchini Malawi, Julai 11, 2022 kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa 51 wa SADC - PF.

Post a Comment

0 Comments