NA DIRAMAKINI
KATIBU wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Nenelwa Mwihambi anasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wa Ofisi ya Bunge, Francisca Mathayo Haule, Afisa Utafiti Mwandamizi kilichotokea Julai 11, 2022 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma alikokuwa anapatiwa huduma ya matibabu;