Kinana asaini Kitabu cha maombolezo Ubalozi wa Angola

NA MWANDISHI WETU

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg. Abdulrahman Kinana amesaini kitabu cha maombolezo tarehe 12 Julai, 2022 katika Ubalozi wa Angola Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Komredi José Eduardo dos Santos, kilichotokea Ijumaa, Julai 8, 2022. nchini Hispania. Ndg. Abdulrahman Kinana ameongozana na Katibu Wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg. Abdulrahman Kinana akisaini kitabu cha maombolezo tarehe 12 Julai, 2022 katika Ubalozi wa Angola Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Komredi José Eduardo dos Santos, kilichotokea Ijumaa, Julai 8, 2022. nchini Hispania. Pichani pamoja nae ni Katibu Wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka (aliyesimama Kwanza Kushoto) Pamoja na Balozi wa Angola Nchini Tanzania Mhe. Sandro De Oliveira.(Aliyevaa Miwani). 
Balozi wa Angola Nchini Tanzania Mhe. Sandro De Oliveira akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg. Abdulrahman Kinana mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo tarehe 12 Julai, 2022 katika Ubalozi wa Angola Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Komredi José Eduardo dos Santos, kilichotokea Ijumaa, Julai 8, 2022. 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg. Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Angola Nchini Tanzania Mhe. Sandro De Oliveira alipokwenda kusaini kitabu cha maombolezo tarehe 12 Julai, 2022 katika Ubalozi wa Angola Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Komredi José Eduardo dos Santos, kilichotokea Ijumaa, Julai 8, 2022. 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg. Abdulrahman Kinana akiteta na Balozi wa Angola Nchini Tanzania Mhe. Sandro De Oliveira alipokwenda kusaini kitabu cha maombolezo tarehe 12 Julai, 2022 katika Ubalozi wa Angola Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Komredi José Eduardo dos Santos, kilichotokea Ijumaa, Julai 8, 2022.(Picha Zote na Fahadi Siraji/CCM Makao Makuu). 

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news