🔴LIVE:Dakika 150 za Wanadiplomasia wakikusogezea tena fursa baada ya fursa

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano huu maalum unaofanyika leo Julai 30, 2022 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12:30 jioni.

Sehemu ya Pili ya Mada:Kukua kwa Diplomasia ya Uchumi na Fursa za Kiuchumi zinazopatikana nchi za Afrika ya Kaskazini, Mashariki ya Kati na Asia.

Unaweza kushiriki mkutano huu moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3J5QPcG

Au kupitia
Meeting ID: 836 9535 7265
Passcode: 534996

Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online,Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania-TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel-Tanzania.

Post a Comment

0 Comments