🛑LIVE:Dakika 150 za Wanasheria wakiangazia Loliondo na Ngorongoro

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano muhimu na maalum unaofanyika leo Julai 5, 2022 (Jumanne) kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12:30 jioni.
Mada: Mjadala wa Wanasheria Juu ya Zoezi la Uwekaji Mipaka Tarafa ya Loliondo na Uhamaji wa Hiari kwa Wakazi wa Ngorongoro,

Unaweza kushiriki mkutano huu moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3yf1E6S

Au kupitia
Meeting ID: 861 3784 7684
Passcode: 056609

Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel-Tanzania.

Post a Comment

0 Comments