Wakili msomi Sikalengo ajitosa kuwania Ujumbe wa Mkutano Mkuu Taifa


Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Momba Mkoa wa Songwe, Wakili msomi Frank C.Sikalengo amejitosa kuwania nafasi ya Ujumbe wa Mkutano Mkuu Taifa kupitia chama hicho.

Post a Comment

0 Comments