Rais Dkt.Mwinyi ahutubia Kongamano la Kuukaribisha Mwaka Mpya wa Kiislam 1444 A.H

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia waumini wa Dini ya Kiislam na wananchi katika Kongamano la Kuukaribisha Mwaka Mpya wa Kiislam 1444 A.H, lililonayika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja leo Julai 31,2022.(Picha na Ikulu).
Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia katika Kongamano la kuukaribisha Mwaka Mpya wa Kiislam 1444.A.H, lililofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Waumini wa Dini ya Kiislam na Wananchi katika Kongamano la Kuukaribisha Mwaka Mpya wa Kiislam 1444 A.H, lililofayika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja leo.
Sheikh Khamis Abdulhamid akiwasilisha mada kuhusiana na Sensa na Mipango ya Maendeleo wakati wa Kongamano la Kuukaribisha Mwaka Mpya wa Kiislam 1444. A.H, lililofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Mada ya Uislamu na Sensa na Mipango wa Maendeleo ikiwasilishwa na Sheikh Khamis Abdulhamid (hayupo pichani) wakati wa Kongamano la Kuukaribisha Mwaka Mpya wa Kiislam -1444 A.H, lililofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja na kulia kwa Rais ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar,Mhe.Haroun Ali Sumeiman, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar , Alhaj Othman Masoud Othman na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Alhaj Hemed Suleiman Abdulla na kushoto kwa Rais ni Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Mahmoud Mussa Wad na Kadhi Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Hassan Othman Ngwali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia mada ya Uislamu na Sensa na Mipango wa Maendeleo ikiwasilishwa na Sheikh Khamis Abdulhamid (hayupo pichani) wakati wa Kongamano la Kuukaribisha Mwaka Mpya wa Kiislam -1444 A.H, lililofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja na kulia kwa Rais ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar,Mhe.Haroun Ali Sumeiman, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhaj Othman Masoud Othman na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhaj Hemed Suleiman Abdulla na kushoto kwa Rais ni Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Mahmoud Mussa Wadi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news