Sitarudia tena ukahaba, kilichonipata huko siwezi kusahau

NA MWANDISHI WETU

KUTOKANA na ugumu wa maisha nilijikuta nimeingia kwenye biashara ya ukahaba bila mimi mwenye kupenda, nilifanya kazi ile kishingo upande, ni kwa vile tu sikuwa na jinsi.

Huko nilikumbana na changamoto nyingi, moja wapo ambayo ni kubwa zaidi ni kukamatwa na Polisi na kufikishwa kituoni, kama ukiwa siku hiyo umepata fedha kidogo inabidi kuwagawia kidogo.

Changamoto nyingine ni kwamba wateja wengi hawakutaka kutumia kondomu au mwingine anaivaa kabisa halafu katikati ya safari anaipasua kwa makusudi.

Jambo hilo lilikuwa likinikera, kwani maradhi ni mengi, nilivumilia hilo kutokana na ukweli kuwa, sikuwa na jinsi ya kupata fedha kwa wakati huo ambapo maisha yalikuwa magumu sana kwangu.

Baada ya muda nilianza kuugua ugonjwa wa Kisonono, nilienda hospitali ambapo nilifanyiwa vipimo na kupatiwa dawa za kutumia, lakini cha ajabu ugonjwa ule ulikuwa unaisha na baada ya muda kigodo unaanza tena.

Yaani kila nikipona na kurejea kwenye kazi yangu hazikupita siku mbili naanza kuumwa tena, hivyo narudi tena hospitali kwa ajili ya dawa, nakumbuka nilitumia dawa za kila aina hadi ikafikia hatua Dokta akaniambia ugonjwa wangu umekuwa sugu, hausikii tena dawa.

Jambo hilo lilinipa sana msongo wa mawazo maana nilikuwa nikiwashwa sana sehemu za siri na mwili kuishiwa nguvu, nilitafuta dawa za mitishamba na kutumia, lakini sikuweza kupona.

Nakumbuka kupona kwangu ni hadi pale nilipopata namba ya Dr. Kiwanga ambayo ni +254 769404965 kwenye mtandao wa Facebook na kuwasiliana naye na ndipo nilipopona tangu wakati huo.

Bila uwoga, naweza kusema bila Dr. Kiwanga hadi sasa ningekuwa nateseka na ugonjwa huo ambao ni aibu kuutaja mbele ya watu maana unaweza kuonekana ni malaya.

Baada ya kupona niliamua kuachana na kazi ya ukahaba na sasa nimeajiriwa kwenye moja ya saluni iliyopo katika ya Jiji la Dar es Salaam na ndipo nafanya kazi zangu.

Kumbuka pia Dr. Kiwanga anatibu magonjwa kama kaswende, kisonono, kifua kikuu, presha na mengine mengi, kwa mawasiliano zaidi mtumie barua pepe; kiwangadoctors@gmail.com, tembelea tovuti yake; www.kiwangadoctors.com au piga simu +254 769404965.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news