Watanzania kahawa yetu ni dili kubwa hapa Korea,tuichangamkie hii fursa-Balozi Mavura

"Moja ya vitu tulivyobarikiwa hapa Korea ni kahawa yetu inapendwa sana wanaiita TRIPLE A, wanasema hapa Korea ni moja ya masoko ya kujaribia ubora na kwenyte hilo kahawa yetu imefanikiwa sana;

Post a Comment

0 Comments