Watanzania waonesha fursa nje ya mipaka


"Shughuli wanazojihusisha zaidi ni uchimbaji na uuzaji wa madini aina ya Almasi kwa asilimia 28.1 pia kuna Cooper na Uranium huku shughuli za uvuvi pia zinafanyika hasa uvuvi wa kina kirefu, hivyo fursa ni nyingi sana Watanzania wanakaribishwa,"amesema Balozi Dkt.Modestus F.Kipilimba, Balozi wa Tanzania nchini Namibia.

Post a Comment

0 Comments