🛑LIVE:Dakika 150 za Wanadiplomasia wakiangazia Diplomasia ya Uchumi na fursa

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano huu maalum unaofanyika leo Julai 9, 2022 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12:30 jioni.
Mada:Kukua kwa Diplomasia ya Uchumi na Fursa za Kiuchumi zinazopatikana nchi za Kusini mwa Afrika (SADC). Unaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3yeV2pe

Au kupitia
Meeting ID: 819 6524 3784
Passcode: 635753

Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) na Mtandao wa Simu wa Airtel-Tanzania.

Post a Comment

0 Comments