Yanga SC yapata Rais mpya mwenye maono mengi

NA DIRAMAKINI

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Klabu ya Yanga wamempitisha, Mhandisi Hersi Ally Said ambaye alikuwa mgombea pekee kwa kura za ndiyo kuwa Rais mpya wa klabu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Jangwani jijini Dar es Salaam.
VIPAUMBELE VYA HERSI RAISI WA YANGA. 


1. MIUNDOMBINU YA KLABU. 


a. Ujenzi wa uwanja wa mechi wenye uwezo wa kubeba watu 20,000 - KAUNDA JANGWANI


b. Marekebisho ya jengo la klabu - JANGWANI


c. Kuendeleza TRAINING CENTRE - KIGAMBONI


2. MABADILIKO YA MUUNDO WA KLABU.


Klabu yetu kupitia kwa wanachama walipitisha mfumo wa mabadiliko. Nikiwa mmoja waumini wa mabadiliko hayo, naahidi kuyasimamia na kuyaendeleza mabadiliko hayo kwa mujibu wa KATIBA YETU. 
3. KUIMARISHA UCHUMI wa klabu. 

Kupitia kwa miradi ya usajili wa wanachana.
Kupitia kwa miradi ya usajili wa washabiki
Kuvutia Wadhamini mbali mbali. 
Kuvutia wawekezaji. 

4. KUJENGA KIKOSI IMARA CHA KULETA MATAJI NA FURAHA KWA WANA YANGA. 

a. LIGI KUU 
b. FA CUP 
c. NGAO YA JAMII 
d. MASHINDANO YA KIMATAIFA 

5. KUJENGA TIMU IMARA ZA TIMU ZA VIJANA NA WANAWAKE. 

a. U-17
b. U-20
c. YANGA PRINCESS 

6. Kuongeza USHIRIKIANO baina ya KLABU na wanachama na mashabiki wake, wadau mbali mbali ikiwemo idara za serekali, sekta binafsi, waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news