Azam FC kuazamka na ZESCO United kesho

Azam FC itamenyana na ZESCO United ya Zambia katika mchezo wa kirafiki (Azamka) Jumapili katika dimba la Azam Complex lililopo Kata ya Chamazi katika Halmashauri ya Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments