Mr.Sakho,where are you from? I am from Rufisque, Sawa...

NA DIRAMAKINI

WINGA wa Kimataifa wa Senegal anayecheza Simba, Pape Ousmane Sakho amedhirisha kuwa, kuibuka kuwa shujaa wa bao bora barani Afrika haikuwa bahati nasibu badala yake inatokana na uwezo wake akiwa dimbani.SOMA Mashabiki Simba SC, Yanga SC watambiana bao la Sakho kutumika Agosti 13 kwa Mkapa

Ni baada ya leo Agosti 13, 2022 katika Dimba la Benjamin Mkapa lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam kupitia mtanage wa watani wa jadi kati ya mwajiri wake Simba SC na Yanga SC katika Ngao ya Jamii kutupia bao la kwanza dakika ya 16. Bao ambalo limedumu kipindi chote cha dakika 45 za kwanza.

Post a Comment

0 Comments