Dkt.Jingu akutana na wadau wa maendeleo kutoka Famers Dream

NA MWANDISHI WETU

KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu, Dkt.John Jingu amekutana na kufanya mazungumzo na wadau wa maendeleo wa shirika lisilo la Serikali la Famer Dreams katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Ngome jijini Dodoma.
Wadau wa Maendeleo wa shirika lisilo la serikali Farmer Dreams wakiwa katika kikao na katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Dkt. John Jingu Katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Ngome Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Dkt. John Jingu akisisitiza jambao katika kikao na wadau wa maendelo wa shirika lisilo la serikali Farmer Dreams Katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Ngome Jijini Dodoma.
Dkt. Martin Kalowela Mwenyekiti wa Famers Dream akitoa neno la shukrani baada ya kikao na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Dkt. John Jingu (hayupo katika picha) Ngome Jijini Dodoma.
Wadau wa Maendeleo wa shirika lisilo la serikali Farmer Dreams wakiwa katika kikao na katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Dkt. John Jingu Katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Ngome Jijini Dodoma.(Picha na OWM).

Post a Comment

0 Comments