FORM SIX WALIOPUNGUKIWA SIFA KIDOGO WAITWA KUJIUNGA NA FOUNDATION PROGRAM YA CHUO KIKUU HURIA TANZANIA

Kama wewe ni mhitimu wa Kidato cha Sita umepata DEE, EEE, CSS, EDS, ESS, DSS, EES, EEF, DEF, kwa ufupi, kama huna D mbili kwenye masomo yako lakini una Pass Moja na Subsidiary Moja jiunge Foundation Program ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ili upate sifa ya kujiunga Degree katika vyuo vikuu mbalimbali.

Tuma maombi yako Bure kupitia https://www.out.ac.tz

Masomo yataanza mwezi Novemba 2022 na kukamilika Juni 2023. Tuma maombi yako sasa hivi. Ada ya programu nzima ni 690,000/= ambayo hulipwa kwa awamu.

Kwa maswali niandikie sms kupitia 0719017254 nitakupatia majibu.

WENU;

Dkt. Mohamed Maguo
Mhadhiri na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Masoko
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

Post a Comment

0 Comments