JUMAMOSI HII: Usikose mjadala mzito ukiangazia fursa zinazapatikana mikoa ya Tanga, Arusha, Kilimanjaro na Manyara

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano maalum utakaofanyika Jumamosi ya Septemba 3, 2022 kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:00 mchana
Mada: Mjadala wa kitaifa juu ya maendeleo na fursa za kiuchumi zinazopatikana mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania -Tanga, Arusha, Kilimanjaro na Manyara

Muda ukifika (Saa 5 kamili asubuhi, Septemba 03, 2022 - (Jumamosi) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3R3a5dR

Au kupitia
Meeting ID: 820 4583 6760
Passcode: 388252
Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania.

Post a Comment

0 Comments