🔴LIVE:Rais Samia akiwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, hafla ya uapisho inafanyika leo Agosti 1, 2022 Ikulu jijini Dar es Salaam.


WAKUU WA MIKOA

1.Mhe.Albert John Chalamila Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera

2.Mhe. Fatma Abubakar Mwasa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro

3.Mhe. Halima Omari Dendego kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa

4.Mhe. Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara

5. Mhe. Nurdin Hassan Babu kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

6.Mhe. Kanali Ahmed Abbas Ahmed kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara

7.Mhe. Dkt. Yahya Ismail Nawanda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu

8.Mhe. Kanali Laban Elias Thomas kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

9.Mhe. Peter Joseph Serukamba kuwa Mkuu wa Mkoa wa Singida

MAKATIBU TAWALA WA MIKOA

1.Eng. Leonard Robert Masanja kuwa Katibu TAWALA wa Mkoa wa Iringa

2.Prof. Godius Walter Kahyarara kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Geita

3.Prof. Siza Donald Tumbo kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga

4.Ndugu Toba Alnason Nguvila kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera

5.Ndugu Balandya Mayuganya Elikana kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza

6.Dkt. John Rogath Mboya kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora

7. CP. Dkt. Mussa Ali Mussa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Ukumbi wa Kikwete - Dar es Salaam

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news