Makamu wa Rais Dkt.Mpango, mkewe wahesabiwa nyumbani kwake Chanika Dar es Salaam



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Philip Isdor Mpango leo Agosti 23, 2022 pamoja na mke wake,Mbonimpaye Mpango wameshiriki kwenye shughuli ya Sensa ya Watu na Makazi wakati Karani wa Sensa Isack Mgosho alipofika kwa ajili ya kuwahesabu katika makazi yao Chanika jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news