Mchakato wa mabadiliko ya sheria za habari washika kasi

Joseph Mwendapole, Mjumbe wa Jukwaa la Wahariri (TEF) aliyesimama akiwa katika chumba cha habari cha Mwanahalisi Digital alipokwenda kutembelea na kueleza mchakato wa mabadiliko ya sheria za habari ulipofika.Joseph Kulangwa, Mhariri wa Gazeti la Raia Mwema (kushoto), akipokea flash yenye mapendekezo ya mabadililo ya sheria za habari kutoka kwa Joseph Mwendapole, Mjumbe wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF). Erasto Masalu, Mkuu wa Kitengo cha Mwanahalisi Digital (kulia), akipokea flash yenye mapendekezo ya mabadililo ya sheria za habari kutoka kwa Joseph Mwendapole, Mjumbe wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF).

Post a Comment

0 Comments