Naibu Waziri David Silinde ahesabiwa na familia yake nyumbani TundumaNaibu Waziri anayeshughulikia Elimu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mhe. David Silinde akizungumza na Karani wa Sensa ya Watu na Makazi wakati akihesabiwa nyumbani kwake Mtaa wa Majengo Kata ya Majengo iliyopo Halmashauri ya Mji wa Tunduma mkoani Songwe leo Agosti 23,2022.

Post a Comment

0 Comments