Waziri Bashungwa ahesabiwa na familia yake nyumbani Karagwe


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza na Karani wa Sensa ya Watu na Makazi, Spencia Rutalemwa wakati akihesabiwa nyumbani kwake Kijiji cha Ahakishaka, Kata ya Nyabiyonza Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera leo Agosti 23, 2022.

Post a Comment

0 Comments