Namna nilivyoweza kuacha kuvuta sigara baada ya miaka 23

NA MWANDISHI WETU

KWA miaka mingi nilikuwa napambana kuhakikisha kuwa naacha kuvuta sigara, lakini hilo lilinishinda kabisa, kuna wakati niliweza kukaa hata wiki moja bila kuvuta, lakini nikipita mahali nikasikia mtu anavuta ghafla kiu inakuja.
Tayari mwili wangu ulikuwa umeanza kupata madhara kutokana na uvutaji sigara, kila mara nilikuwa nakohoa hasa nyakati za usiku, jambo hilo lilikuwa linamkwaza sana mke wangu kiasi kwamba aliamua kuhama chumba tulichokuwa tunaishi pamoja.

Nilianza kutumia dawa za mitishamba na kufuata aina fulani ya kanuni za kisaikolojia ili kuweza kuondoka katika kifungo hicho, lakini sikuweza kufanikiwa.

Nakumbuka wakati ninaanza kuvuta sigara mama yangu aliniambia nitakuja kujutia sana maishani mwangu, aliniambia ukiona hadi kitu kimeandikwa;Onyo: Uvutaji wa Sigara ni hatari kwa afya yako, basi fahamu ni hatari kweli kweli.

Kutokana na maisha ya ujana kwa wakati ule sikuweza kuelewa hilo, lakini athari nilizokuja kuzipata kama kukohoa sana na kushindwa kumpatia mke wangu haki yake ya ndoa vilivyo, ndipo nikayakumbuka maneno ya mama yangu.

Baada ya kuteseka na kuangaika kwa miaka mingi niliweza kukutana na mtu anayeitwa Dr. Kiwanga ambaye naweza kumuita shujaa wa maisha yangu.

Mtu huyu nilipatiwa namba yake +254 769404965 na mjomba yangu ambaye alisaidiwa na Dr. Kiwanga kupata kazi, aliniambia anaweza kunisaidia nami kuacha kuvuta sigara kwani ameweza kuwasaidia hadi wenye urahibu wa dawa za kulevya.

Nakumbuka baada ya kutumia dawa za Dr. Kiwanga niliweza kuacha mara moja uvutaji wa sigara na sasa ni miaka miwili sijavuta kabisa na nikisikia harufu yake tu najisikia hata kutapika.

Kwa kweli kwa sasa hata ninaweza kusema hali yangu ya kiafya imeweza kuimarika kwa kiasi kikubwa tangu niachane na uvutaji sigara na hata maendeleo nimeanza kuyaona kwenye maisha yangu.

Mke wangu amekuwa mwenye furaha ndani ya ndoa maana ninaweza kumtimzia kile anachostahili kupata kama mke wa ndoa.

Asante sana kwa Dr.Kiwanga kwa uponyaji huu wa ajabu, kumbuka mtu huyu anatibu magonjwa kama kaswende, kisonono, kifua kikuu, presha na mengine mengi.

Pia ana uwezo kumfanya mtu kuwa na bahati maishani mwake, kushinda katika michezo ya bahati nasibu, kukukinga na maadui zako, kukufanya ushinde migogoro kama ya ardhi, kuwa na mvuto wa kimapenzi, kuongeza mauzo katika biashara.

Kwa mawasiliano zaidi mtumie barua pepe; kiwangadoctors@gmail.com, tembelea tovuti yake; www.kiwangadoctors.com au piga simu +254 769404965.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news