Rais Dkt.Mwinyi ateta na ujumbe kutoka Mamlaka ya Bima Tanzania (TIRA)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Kamishna wa Mamlaka ya Bima nchini Tanzania (TIRA), DkT.Baghayo Saqware (wa pili kuliA) wakati wa mazungumzo na ujumbe aliofuatana nao leo wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na ujumbe ulioongozwa na Kamishna wa Mamlaka ya Bima nchini Tanzania (TIRA), Dkt.Baghayo Saqware (wa tano kushoto) wakati walipofika Ikulu jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea kitabu cha muongozo wa mamlaka ya usimamizi wa Bima Tanzania kutoka kwa Kamishna wa Mamlaka ya Bima nchini Tanzania, Dkt.Baghayo Saqware, wakati wa mazungumzo na ujumbe uliouongoza wakati walipofika Ikulu jijini Zanzibar leo baada ya mazungumzo.(Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments