Rais Samia apokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa Comoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani, ambaye ni Waziri wa Kilimo, Uvuvi, Mazingira, Utalii na Sanaa wa nchi hiyo Mhe. Houmed M’Saidie mara baada ya kuwasili i Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani, uliowasilishwa na Mjumbe Maalum ambaye ni Waziri wa Kilimo, Uvuvi, Mazingira, Utalii na Sanaa wa nchi hiyo Mhe. Houmed M’Saidie, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani, ambae ni Waziri wa Kilimo, Uvuvi, Mazingira, Utalii na Sanaa wa nchi hiyo Mhe. Houmed M’Saidie mara baada ya kuwasilisha Ujumbe kutoka kwa Rais Azali Assoumani Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani, ambae pia ni Waziri wa Kilimo, Uvuvi, Mazingira, Utalii na Sanaa wa Comoro Mhe. Houmed M’Saidie mara baada mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news