Rais Dkt.Mwinyi, mkewe wahesabiwa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduz,i Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mkewe, Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza Karani wa Sensa ya Watu na Makazi, Bi.Asia Hassan Mussa wakati wa zoezi la kuhesabiwa lililofanyika katika makazi yake Migombani Ikulu Ndogo leo Agosti 23,2022, zoezi hilo la Sensa ya Watu na Makazi limeanza leo kwa pande zote mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar baada ya kumaliza zoezi la kuhesabiwa la Sensa ya Watu na Makazi lililofanyika leo katika makazi yake Migombani Ikulu Ndogo Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduz,i Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mkewe, Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza Karani wa Sensa ya Watu na Makazi, Bi.Asia Hassan Mussa wakati wa zoezi la kuhesabiwa lililofanyika katika makazi yake Migombani Ikulu Ndogo leo Agosti 23,2022, zoezi hilo la Sensa ya Watu na Makazi limeanza leo kwa pande zote mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mkewe, Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Zanzibar, Balozi Mohammed Hamza, kabla ya kuaza kwa zoezi lililofanyika katika Makazi ya Rais Ikulu ndogo Migombani Wilaya ya Mjini Unguja leo Agosti 23,2022, na kushoto kwa Rais ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa.(Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments