Una jambo lolote unalotaka kufahamu kuhusu Sensa? Usikose leo saa 10 kamili jioni, utafahamishwa

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano maalum utakaofanyika leo Agosti 20, 2022 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12:30 jioni.

Mada:Mjadala wa Kitaifa juu ya Umuhimu wa Sensa Katika Maendeleo ya Taifa.
Muda ukifika (Saa 10 kamili, Agosti 20, 2022 - Jumamosi) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3JUIsRy

Au kupitia
Meeting ID: 844 5801 5349
Passcode: 003119

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania.

Post a Comment

0 Comments