USIKOSE: Agosti 16 ya Tathmini na matarajio ya wadau wa soka juu ya mwenendo wa usajili wa wachezaji kwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya NBC 2022/2023

WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano maalum utakaofanyika Agosti 16, 2022 (Jumanne) kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.
Mada:Tathmini na Matarajio ya wadau wa Soka juu ya mwenendo wa usajili wa wachezaji kwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya NBC 2022/2023.
Muda ukifika (Saa 5 kamili asubuhi, Agosti 16, 2022 - Jumanne) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3zQpSVU

Au kupitia
Meeting ID: 810 4018 2983
Passcode: 574809

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB na Mtandao wa Simu wa Airtel-Tanzania.

Post a Comment

0 Comments