Waziri Bashungwa ateta na Askofu Bagonza

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa akibadilishana mawazo na Askofu Dkt.Benson Bagonza wa Kanisa la KKKT- Karagwe wakati alipomtembelea ofisini kwake Lukajange katika Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera leo Agosti 24,2022.

Post a Comment

0 Comments