Waziri Bashungwa ateta na Askofu RweyongezaWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (0R-TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa akibadilishana mawazo na Askofu Almachius Rweyongeza wa Jimbo Katoriki la Kayanga wakati alipomtembelea nyumbani kwake Kasharara Karagwe mkoani Kagera leo Agosti 24,2022.

Post a Comment

0 Comments